Tunaoidai serikali tusipige kura na familia zetu

Tunaoidai serikali tusipige kura na familia zetu

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,
Napendekeza wale wote tunaoidai serikali ya Tanzania tusijiandikishe na kupiga kura ili kufikisha hisia zetu kwa serikali kuwa hatukubaliani nayo kuwa hsina fedha za kulipa madeni yetu tunatoidai ila inapesa za kuendesha shughuli za uchaguzi.

Ninaidai serikali zaidi ya Tshs. 500mln nimeenda mahakamani na kushinda kesi lakini serikali imegoma kunilipa.

Huu ni mgomo baridi.
 
Siidai serikali chochote lakini sitapiga kura kwasababu tayari wameshampanga mshindi wao.
 
Siidai serikali chochote lakini sitapiga kura kwasababu tayari wameshampanga mshindi wao.
Kama kuna mahali hakuna maji au umeme wa shida au matundu ya choo cha shule mabovu bado unadai
 
Ccm lazima ishinde hata kama nchi nzima wakikataa kupiga kura
 
Hakuna kitu kibaya kama kuchokwa hata uwe na ubavu kiasi gani itakuja kuwa ngumu siku moja.
GT meku mtu wangu wa nguvu nimefurahia hii comment yako. Yani ukichokwa ama ukimchoka mtu. Mimi nilikuwa na demu mkali nimemchoka huwezi amini hata sasa hivi akitatuliwa rinda mbele yangu haitaniuma kabisa.
 
Hii ni kwel kabisa mkuu unaweza kuteswa na pisi ila kuna mda unaweza jicheka kabisa.
 
Nina miaka 29 sijawahi kupiga kura toka nizaliwe na sitopiga kura maisha yangu yote!
 
Back
Top Bottom