USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchagua malaika ni vema sasa tukaungana naye pia kumpa kura za ndio.
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app