USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
- Thread starter
- #21
Tupo wengi sana na idani inazidi kukua siku baada ya sikuWe MPE tu.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengi sana na idani inazidi kukua siku baada ya sikuWe MPE tu.
Sawa maana hata uliwapigia kila siku wanapigwa hilo ndio tatizo la kuungana na watu dhaifuSiasa za Bongo ni Fitina tu '' Siioni Demokrasia ya Kweli yenye msingi mkuu wa haki na Uhuru,. Kwaiyo Kwangu Mimi, Sioni umuhimu wa Kipiga Kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Unajiamini kwa Kufanya Mazuri waache watu wawe huru kugombea au kujichaguliwa, unapominya Demokrasia maana yake haujiamini na ulichofanya ..Sawa maana hata uliwapigia kila siku wanapigwa hilo ndio tatizo la kuungana na watu dhaifu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni woga jiunge na washindiKiongozi anaejua misingi ya Demokrasia na aliyechaguliwa kwa Mapenzi ya Mungu, hawezi Kuofia Kushindwa..Kuminya Demokrasia ni dalili za Kuofia Kushindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo...asiwe na wasiwasi hata kidogo, swala atashinda kwa asilimia ngapi tu...Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana musee ya mujini unakula mbusi ee?Yeye naulisa Wewe,na wewe nauli minyewe,kwani hapana najua ile kitu naelesea minyewe?
Sasa Mimi nataka toa diclalesen yangu kwa uwasi na ukweli;kile KURA ya Mimi tayari nakwisa "VOTE" kwa Misee JPM
Hata mutoto yangu yote ile about hundred nakwisa "vote" kwa JPM.Na Mama ya mtoto yote namalisa kwa "VOTE" ya minyewe MAGUFULI.
Na Wewe hapana nasahau naiwekea Kura kwa Misee menyewe tu kama vile mi mwenyewe nafanya.JPM haina mutu mwingine kuletea maneno ya "No"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiunge wa watu dhaifu uwe dhaifuKama mmetekeleza ilani yenu kama mnavyosema, mbona mnaogopa ushindani sawa?
Wapinzani kawafunga mikono na miguu
Vyombo vya Ulinzi na Usalama mmevifavya ni matawi ya CCM
Tume ya Uchaguzi haiko huru
Mahakama inatia mashaka
Kama mtarekebisha haya, makaazi ya kudumu ya Magufuli November 2020 yatakuwa Chato
Tusio kuwa na mpango wa Kupiga Kura tuna comment wapi??Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.