Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Yani tatizo ni uwoga tu wa watanzania,Yani Kama syo icho tu mpaka sasa jiwe alitakiwa awe keshaondolewa muda tu mbona licha hata ya uchaguzi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie unayelilia kumpa wakati bado hajakuomba.... elimu yetu ni duni, kilimo duni, ufugaji duni, afya duni, mishahara ya watumishi serikalini duni, maisha duni, demokrasia duni, vyombo vya haki duni, teknolojia duni, ajira kwa vijana duni, viwanda duni, uvuvi duni, michezo mashuleni/vyuoni duni, furaha kwa wananchi duni, maji duni, lishe duni, uwezo wa kuexport duni, Uhuru wa kisiasa duni, mazingira yetu duni, ushawishi kimataifa duni,taasisi za mafao,tasaf, nk. nk. duni. Tunapompongeza tumweleze pia kazi bado ninzito sasa ukijipendekeza sana utashindwa kumwambia utakuwa mtu duni
 
Hivi kuna watu wanaojitambua wanaoenda kukaa msururu wa kupiga kura? Nipige nisipige Rais alishachaguliwa na tume ya uchaguzi. Muulize Jecha na Jaji wa Bara wanafahamu kila kitu.
 
Hivi kuna watu wanaojitambua wanaoenda kukaa msururu wa kupiga kura? Nipige nisipige Rais alishachaguliwa na tume ya uchaguzi. Muulize Jecha na Jaji wa Bara wanafahamu kila kitu.
Kumbe wewe ndio hujiambui kura ulipiga lin

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom