Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Katika kitu ambacho magufuli kina mkosesha raha ni kitu kinaitwa uchaguzi.

Kiukweli hana bahati ya kushinda na sijui kama kuna uchaguzi amewahi kushinda.

Maana pamoja na kelele zote na kampeni alizopiga kwa miaka 4 lakini bado haamini kwamba hakubaliki.

Ametumia kila mtu , jana nimeona amepiga simu kwa diamond usiku, yote haya ni kuhangaika na wanachi ambao pengine hawana habari na mambo ya ndege etc

Kama kweli yeye ni jembe , mawazo ya kuiba kura yanatoka wapi.

Mbona anakua kana kwamba amejipanga kushindwa?

Tatizo lipo wapi? Au kwa vile anatambua mambo maovu ambayo wananchi bado yapo miogoni mwao .

Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm hairudi madarakani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My God huyu jamaa sio size yenu ,ubunge tu amepita bila kupingwa Mara zote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kwako ni msimamo ,sisi tumesha amua

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo una mahala pake kama kwenye masuala ya kiiman huwezi kusingiza mambo ya msimamo kwenye siasa kufanya hivyo nikupotoka.

Kumbuka; Siasa Ni mchezo kama Michezo mingine na wachezaji huchuja na kung'ara msimu kwa msimu. Kwahiyo tulio timamu mwanasiasa makini tutaendelea kumpima umakini wake mpaka siku ya uchaguzi Wala hatuna misimamo ya kijinga Sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom