Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe.
Dhambi ni kumpa unayejua anashindwaJamaa kasema ukweli, ni dhambi kubwa sana kumpa kura jiwe. Hakuna kuyumbisha maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga kuandika majina ya watu huku lako ukilificha china ya jina bandiaUbarikiwe.
cc. , Rosemary John nyerere, Peter Mavunde and the rest. RIP mdogo wangu Salome Kiwaya you can read what is going on now.
Jpm ni kama ronardo hachujiMsimamo una mahala pake kama kwenye masuala ya kiiman huwezi kusingiza mambo ya msimamo kwenye siasa kufanya hivyo nikupotoka.
Kumbuka; Siasa Ni mchezo kama Michezo mingine na wachezaji huchuja na kung'ara msimu kwa msimu. Kwahiyo tulio timamu mwanasiasa makini tutaendelea kumpima umakini wake mpaka siku ya uchaguzi Wala hatuna misimamo ya kijinga Sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anajiamini aweke uwanja sawa mwezi wa kumi Kama hatachinjwa na wanyonge wake anao watete,sisi sisi wanyonge tunamlaza chali Kama alivyo tulaza kwenye ajira tunasota kitaaa miaka minne,