Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Tusipoteze wakati Magu 2020 hana mpinzani wa kuchukuwa kiti cha uraisi.
 
Ni mwana CDM, Lakini JPM acha awe raisi hata mpaka 2035. na ikiwezekana apewe vipindi 4 vya uongozi yaani mpaka 2055.
 
Rais Magufuli kupata kura kama zote uchaguzi wa mwaka huu, 2020

Habarini ndugu zangu wana JamiiForums,

Poleni na majukumu ya kila siku, samahani sana kama nitawakwaza baadhi ya watu ndani ya jukwaa hili. Mimi ni kijana wenu mzalendo na mpenda maendeleo.

Ninawapenda sana viongozi waliobeba maono ndani ya mioyo yao. Nimekua nikifuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu sana,

Lakini mpaka sasa sijaweza kumwona mtu wa kuweza kupambana na Rais Magufuri kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Wana JamiiForums walio wengi wamekuwa na shida ya mihemko ya kisiasa kwa muda mrefu sana.

Wamekuwa na zile siasa za kishabiki kana kwamba ni kama simba na yanga. Sifa za mtu kishabiki zinaeleweka, Mtu mshabiki huwa hawezi kuishughurisha akili yake kabisa, huwa hana uwezo wa kupima jambo, yeye hushabikia tu bila kureason. Sababu hizo ndizo zilizo nipelekea kuona ni bora tuwe na siasa ya chama kimoja kuliko siasa za vyama vingi vya kishabiki.

Nimejaribu kujifunza siasa za Marekani na bado naendelea kujifunza kwasababu, watu wa kule wanafanya siasa zinazojenga na sio za kishabiki. Tunataka siasa zinazojenga, siasa za maendeleo, siasa zinazozungumzia ni jinsi gani tunaweza kuibadilisha nchi yetu iwe kama Ulaya.

Sio siasa za matusi wala za kuleteana maneno ya kashifa. Kuna shida mahali kwa wanasiasa wa kileo, nafikiri hawana content za kutosha kichwani. Na Mara nyingi vile mtu aonavyo ndivyo alivyo.

Na mtu yeyote huyatoa yaliyo ndani ya hadhina yake. No positive content in the mind you will always provide negativity, maneno ya kuvunja moyo.

Ukiona uko hivyo ujue kuna shida kwenye content iliyopo ndani ya ubongo. Program ya ubongo wa mtu wa namna kama hiyo inakua haina mafaili ya positive words.

Naenda kumalizia hivi, kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 hayupo mtu mwenye ubavu wa kuweza kumshinda Rais Magufuli. Kwasababu washindani wake wamekosa sera, hawana Mikakati yeyote kuhusu nchi (No positive strategies) wao nikushabikia tu. Watanzania tunataka maendeleo, hatuhitaji porojo nyingi with zero action.

Tunataka tuone muonekano wa Tanzania unabadilika. Hatutaki maneno mengi, na afadhali yangekuwa mengi ila nayo ni matupu, Mara haki za binadamu mara sijui katiba.

Rais Magufuli anatutosha kwasababu ndiye yeye pekee aliye na uchungu na hii nchi huku wengine mmekalia kuirudisha nyuma nchi yetu. Mnawaza tu kuishitaki mara muende mahakamani mara sijui muende wapi, hamtufai kabisa.

Kama mtu unawaza tu kutukana kwenye mitandao Mara umkosoe Rais, wewe sio mzalendo wala hufai. Really you don't have positive strategies to our nations.

Watanzania wenye akili, wenye uwezo wa kupima mambo hawawezi kukuchagua, hata ubunge tukupatii. Kama unamkosoa Rais sio jambo baya, lakini je ukosoaji wako ni wa aina gani?

Kuna mtu anakosoa kwa kuvunja moyo, huyo anashida kwenye program ya ubongo wake. Mafaili ya ubongo wake hayana maneno ya kukosoa in positive way. Mimi nilikaa kimya kwa muda mrefu sanaa nilikua nikiwasoma tu, the way mnavyo jibaraguza. Jamani tubadilikeni maendeleo ya nchi hayana chama.

Niwashukuruni sana ndugu zangu, kwa kukamalizia, watanzania wote tuliopo mtaani tunamkubali Rais Magufuli, kwa vile alivyojitoa kupigania nchi yetu, tunaelewa sio kazi nyepesi, kubeba maono makubwa kichwani ndugu zangu ni kazi sana.

Kuna muda unakuwa na mawazo kama kweli utaweza kuyakamilisha maono yote kwa wakati. Tunamwombea Rais wetu Mungu amlinde ampiganie, atimize haja ya moyo wake ya kuliletea maendeleo Taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki Watanzania,
Mungu Mbariki Rais Magufuli
Amen.
 
Wamekuwa na zile siasa za kishabiki kana kwamba ni kama simba na yanga. Sifa za mtu kishabiki zinaeleweka, Mtu mshabiki huwa hawezi kuishughurisha akili yake kabisa, huwa hana uwezo wa kupima jambo, yeye hushabikia tu bila kureason. Sababu hizo ndizo zilizo nipelekea kuona ni bora tuwe na siasa ya chama kimoja kuliko siasa za vyama vingi vya kishabik
Hii ndo sifa kuu inayokuhusu.
Halafu jifunze kuandika kwa usahihi na kimantiki ndo uje kutuletea ushabiki wa Yanga na simba
 
Njaa mbaya..Pengine ungeambiwa taja Sifa za Baba yako ungeandika mistari miwili au mitatu..

Jiwe ni Binadamu ,Anamapungufu mengi,Sema huna Elimu hivyo kwa Uwezo wako wa maono kwa Jiwe ana akili kuzidi Watanzania wote akiwemo Baba yako.
 
Unasema wapinzani hawana sera sijui nini...wataoneshaje sera zao kwenye jamii wakati kila wakijaribu kuonesha uwezo wao wanatimuliwa kwa mabomu..risasi...vitisho....kuuwawa na kupelekwa mahakamani? Unafiki wakati mwingine humfanya mtu ufikirie kwa kutumia viungo vingine vya mwiliwake tofauti na vile vilivyo halalishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha hao wapuuzi vichwa vyao vimejaa vinyesi
Njaa mbaya..Pengine ungeambiwa taja Sifa za Baba yako ungeandika mistari miwili au mitatu..

Jiwe ni Binadamu ,Anamapungufu mengi,Sema huna Elimu hivyo kwa Uwezo wako wa maono kwa Jiwe ana akili kuzidi Watanzania wote akiwemo Baba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom