Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mmebaki kulalamika tu kwenye mitandao hakuna hoja za maana!
Hoja za maana ni kumsifia jiwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmebaki kulalamika tu kwenye mitandao hakuna hoja za maana!
Ndiyo pamoja na Mwenyekiti wa Kudumu Mbowe!Hoja za maana ni kumsifia jiwe?
Bado mnapiga lamri kwa ndoto za mchana 'day light dreams'Rais Magufuli kupata kura kama zote uchaguzi wa mwaka huu, 2020
Habarini ndugu zangu wana JamiiForums,
Poleni na majukumu ya kila siku, samahani sana kama nitawakwaza baadhi ya watu ndani ya jukwaa hili. Mimi ni kijana wenu mzalendo na mpenda maendeleo.
Ninawapenda sana viongozi waliobeba maono ndani ya mioyo yao. Nimekua nikifuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu sana,
Lakini mpaka sasa sijaweza kumwona mtu wa kuweza kupambana na Rais Magufuri kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Wana JamiiForums walio wengi wamekuwa na shida ya mihemko ya kisiasa kwa muda mrefu sana.
Wamekuwa na zile siasa za kishabiki kana kwamba ni kama simba na yanga. Sifa za mtu kishabiki zinaeleweka, Mtu mshabiki huwa hawezi kuishughurisha akili yake kabisa, huwa hana uwezo wa kupima jambo, yeye hushabikia tu bila kureason. Sababu hizo ndizo zilizo nipelekea kuona ni bora tuwe na siasa ya chama kimoja kuliko siasa za vyama vingi vya kishabiki.
Nimejaribu kujifunza siasa za Marekani na bado naendelea kujifunza kwasababu, watu wa kule wanafanya siasa zinazojenga na sio za kishabiki. Tunataka siasa zinazojenga, siasa za maendeleo, siasa zinazozungumzia ni jinsi gani tunaweza kuibadilisha nchi yetu iwe kama Ulaya.
Sio siasa za matusi wala za kuleteana maneno ya kashifa. Kuna shida mahali kwa wanasiasa wa kileo, nafikiri hawana content za kutosha kichwani. Na Mara nyingi vile mtu aonavyo ndivyo alivyo.
Na mtu yeyote huyatoa yaliyo ndani ya hadhina yake. No positive content in the mind you will always provide negativity, maneno ya kuvunja moyo.
Ukiona uko hivyo ujue kuna shida kwenye content iliyopo ndani ya ubongo. Program ya ubongo wa mtu wa namna kama hiyo inakua haina mafaili ya positive words.
Naenda kumalizia hivi, kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 hayupo mtu mwenye ubavu wa kuweza kumshinda Rais Magufuli. Kwasababu washindani wake wamekosa sera, hawana Mikakati yeyote kuhusu nchi (No positive strategies) wao nikushabikia tu. Watanzania tunataka maendeleo, hatuhitaji porojo nyingi with zero action.
Tunataka tuone muonekano wa Tanzania unabadilika. Hatutaki maneno mengi, na afadhali yangekuwa mengi ila nayo ni matupu, Mara haki za binadamu mara sijui katiba.
Rais Magufuli anatutosha kwasababu ndiye yeye pekee aliye na uchungu na hii nchi huku wengine mmekalia kuirudisha nyuma nchi yetu. Mnawaza tu kuishitaki mara muende mahakamani mara sijui muende wapi, hamtufai kabisa.
Kama mtu unawaza tu kutukana kwenye mitandao Mara umkosoe Rais, wewe sio mzalendo wala hufai. Really you don't have positive strategies to our nations.
Watanzania wenye akili, wenye uwezo wa kupima mambo hawawezi kukuchagua, hata ubunge tukupatii. Kama unamkosoa Rais sio jambo baya, lakini je ukosoaji wako ni wa aina gani?
Kuna mtu anakosoa kwa kuvunja moyo, huyo anashida kwenye program ya ubongo wake. Mafaili ya ubongo wake hayana maneno ya kukosoa in positive way. Mimi nilikaa kimya kwa muda mrefu sanaa nilikua nikiwasoma tu, the way mnavyo jibaraguza. Jamani tubadilikeni maendeleo ya nchi hayana chama.
Niwashukuruni sana ndugu zangu, kwa kukamalizia, watanzania wote tuliopo mtaani tunamkubali Rais Magufuli, kwa vile alivyojitoa kupigania nchi yetu, tunaelewa sio kazi nyepesi, kubeba maono makubwa kichwani ndugu zangu ni kazi sana.
Kuna muda unakuwa na mawazo kama kweli utaweza kuyakamilisha maono yote kwa wakati. Tunamwombea Rais wetu Mungu amlinde ampiganie, atimize haja ya moyo wake ya kuliletea maendeleo Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki Watanzania,
Mungu Mbariki Rais Magufuli
Amen.
Tatizo ni kuwa hawatazitangaza kwa vile hata wa kuzihesabu sijui kama atakuwepo.kwa mara ya kwanza baada ya miongo mitatu nimejiandikisha ili kuongeza kura za hapana kwa magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo pamoja na Mwenyekiti wa Kudumu Mbowe!
Wapinzani wamechoka mbaya huo ndio ukweliNdio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ametawanya panzi
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uzi wangu umefutwa.USSR,
We MPE tu.
Niko hapa muda ukifika tuNdio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema waje tuwaone kama watapata hata 1.1Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala makombo mpo mpo tuHuna hata aibu usiku usiku kutuletea habari za kipuuzi
Huna mada za msingi au?
Muda ndio huu jamaniPeople are dynamic Wanaweza badilika ndani ya sekunde kadhaa tu.
Kwahiyo nikiwa Kama Mwanaume ninaejielewa siwezi kutoa udhibitisho wa kura yangu ya miezi Tisa ijayo kwa binadam anaebadilika Kama kinyonga.
Only time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mlinde jpmPeople are dynamic Wanaweza badilika ndani ya sekunde kadhaa tu.
Kwahiyo nikiwa Kama Mwanaume ninaejielewa siwezi kutoa udhibitisho wa kura yangu ya miezi Tisa ijayo kwa binadam anaebadilika Kama kinyonga.
Only time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ijayo itakuwa makini zaidi ya hii iliyoishaPeople are dynamic Wanaweza badilika ndani ya sekunde kadhaa tu.
Kwahiyo nikiwa Kama Mwanaume ninaejielewa siwezi kutoa udhibitisho wa kura yangu ya miezi Tisa ijayo kwa binadam anaebadilika Kama kinyonga.
Only time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app