blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Papa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa
Noma sana huu uzi CHADEMA wana uharaKikao cha wachawi hiki
Nakumbuka hotuba ya mwisho ya JK kwa bunge la kenya alisema watu wajinga Tanzania hii ni wachache, are among the few?Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka hotuba ya mwisho ya JK kwa bunge la kenya alisema watu wajinga Tanzania hii ni wachache,are among the few?
Labda wewe na familia yakoNdio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards. Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika.Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi, nikiwa na uelewa na akili timamu, nimeshuhudia CHAGUZI nyingi hapa nchini, yaani tangu zile za wakati wa Chama Kimoja hadi hizi za Vyama Vingi kuanzia 1995, aidha kama MPIGA KURA AU KAMA MWANGALIZI WA NDANI (LOCAL OBSERVER), kwa kweli SIJAWAHI KUONA UCHAGUZI MWEPESI NA RAHISI KWA CCM kama huu wa 2020. Amini usiamini, siyo suala la upenzi au ushabiki, mtaona hili wakati wa matokeo hapo baada ya 28/10/2020.Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio
Kila sekta iko poa hatukufanya kosa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nabii mwingira alisemaje,Binafsi, nikiwa na uelewa na akili timamu, nimeshuhudia CHAGUZI nyingi hapa nchini, yaani tangu zile za wakati wa Chama Kimoja hadi hizi za Vyama Vingi kuanzia 1995, aidha kama MPIGA KURA AU KAMA MWANGALIZI WA NDANI (LOCAL OBSERVER), kwa kweli SIJAWAHI KUONA UCHAGUZI MWEPESI NA RAHISI KWA CCM kama huu wa 2020. Amini usiamini, siyo suala la upenzi au ushabiki, mtaona hili wakati wa matokeo hapo baada ya 28/10/2020. Asilimia ya ushindi kwa Magufuli, ndio zitakazo wafanya muamini haya nisemayo na matokeo haya ya mwaka huu, ndiyo chanzo cha kifo cha upinzani hapa nchini. Ukiachilia mbali misuguano yao ya ndani. Tusubiri