Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Mimi ni mwanachadema halisi ila nyonge nyongeni haki yake mpeni maguu katekeleza wakuu kapambana sehem alipobana ni kuongea tu kwa wapinzani kila mtu ana mapungufu yake, ila sioni shida maguu akiongoza tena anakura yangu aisee.
 
Wabunge wanatia huruma kwa wananchi kupata kula saivi, ndo mda wa kula pesa zao saivi.
 
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.

Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio

Kila sekta iko poa hatukufanya kosa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka hotuba ya mwisho ya JK kwa bunge la kenya alisema watu wajinga Tanzania hii ni wachache, are among the few?
 
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.

Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio

Kila sekta iko poa hatukufanya kosa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wewe na familia yako
 
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards. Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika.

Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa Chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.

Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Angekuwepo Mgombea bora kuzidi Magufuli ningempa huyo Mgombea bora.

Anyway,Lazima Nimpe kura atuongoze Miaka Mitano tena Maana hakuna Namna.

Hawa Wengine wangeshauriwa waje wagombee kipindi cha uchaguzi wa serikali za Mitaa maana ndio Level zao.
 
Uzi unasema "Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa" halafu unamkuta mtu anakuja kutukana kwa jazba kabisa!?
Ustaarabu kama kitu hakikufai pita kimyakimya hujalazimishwa.

John Pombe Magufuli ana kura yangu, ya wanangu, ya baba na mama, ndugu zangu na majirani zangu woteee
 
Mimi kinachoniuma ni kwamba anaenda tena miaka 10, anatakiwa kua life time president
 
Tatizo la magufuri uongo, anachokisema ni tofauti na kilichopo moyoni mwake na wakati mwingine anadanganya mchana peupee, peee. ni bora kura yangu nipoteze kwa kumpa Lissu hata kama hatashinda. Lakini siwezi kuipoteza kwa kuacha kwenda kupiga kura.
 
Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.

Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.

Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio

Kila sekta iko poa hatukufanya kosa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi, nikiwa na uelewa na akili timamu, nimeshuhudia CHAGUZI nyingi hapa nchini, yaani tangu zile za wakati wa Chama Kimoja hadi hizi za Vyama Vingi kuanzia 1995, aidha kama MPIGA KURA AU KAMA MWANGALIZI WA NDANI (LOCAL OBSERVER), kwa kweli SIJAWAHI KUONA UCHAGUZI MWEPESI NA RAHISI KWA CCM kama huu wa 2020. Amini usiamini, siyo suala la upenzi au ushabiki, mtaona hili wakati wa matokeo hapo baada ya 28/10/2020.

Asilimia ya ushindi kwa Magufuli, ndio zitakazo wafanya muamini haya nisemayo na matokeo haya ya mwaka huu, ndiyo chanzo cha kifo cha upinzani hapa nchini. Ukiachilia mbali misuguano yao ya ndani.

Tusubiri
 
Binafsi, nikiwa na uelewa na akili timamu, nimeshuhudia CHAGUZI nyingi hapa nchini, yaani tangu zile za wakati wa Chama Kimoja hadi hizi za Vyama Vingi kuanzia 1995, aidha kama MPIGA KURA AU KAMA MWANGALIZI WA NDANI (LOCAL OBSERVER), kwa kweli SIJAWAHI KUONA UCHAGUZI MWEPESI NA RAHISI KWA CCM kama huu wa 2020. Amini usiamini, siyo suala la upenzi au ushabiki, mtaona hili wakati wa matokeo hapo baada ya 28/10/2020. Asilimia ya ushindi kwa Magufuli, ndio zitakazo wafanya muamini haya nisemayo na matokeo haya ya mwaka huu, ndiyo chanzo cha kifo cha upinzani hapa nchini. Ukiachilia mbali misuguano yao ya ndani. Tusubiri
Kwani nabii mwingira alisemaje,
 
Back
Top Bottom