Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.

Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchagua malaika ni vema sasa tukaungana naye pia kumpa kura za ndio.

Kila sekta iko poa hatukufanya kosa


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga wanasema ukishirikiana na dhaifu na wewe unakuwa dhaifu au ukishirikiana na professional failure you turn to na hapa Tanzania vyama vya upinzani vimeonesha kuwa ni dhaifu na failure kwa miaka mingi na jinsi jpm anavyofanya kazi tunajua nini kitatokea so tukutane tushangilie huku tukisubili shangwe huko October mwaka huu maana huu ni mwaka wa uchaguzi.

Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi magufuli imesha kamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipomgeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.

Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwa na kutukwaza Ila kwa kuwa hatukumchugua malaika ni vema sasa yukaungana naye pia kumpa kura za ndio

Kila sekta iko poa hatukufanya kosa


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…