Tunaokula bata awamu ya Rais Magufuli na Mafanikio tuliyoyapata

Tunaokula bata awamu ya Rais Magufuli na Mafanikio tuliyoyapata

Falaa kweli [emoji1787][emoji16][emoji16]

Kwenye uzi gani?
Du nilifikiri umenitusi🙄🙄. Iko hoja mchanganyiko kama anasema ukweli basi kulikuwa na shida Sana kwenye utawala WA Jiwe watu walikuwa kama misukule anasema alisifia utawala ule huku alijua yaliyokuwa yakifanyika ni mabaya katamka kuwa alikua anafanya propaganda.
 
Dah watu kama huyu jamaa ni wa kulaani sana. Wameumiza wengi, laiti angetubu jiwe akiwa hai angeeleweka lkn kwa sasa anaswitch kuendana na mazingira. Watu wa namna hii ni hatari mno.
 
Du nilifikiri umenitusi[emoji849][emoji849]. Iko hoja mchanganyiko kama anasema ukweli basi kulikuwa na shida Sana kwenye utawala WA Jiwe watu walikuwa kama misukule anasema alisifia utawala ule huku alijua yaliyokuwa yakifanyika ni mabaya katamka kuwa alikua anafanya propaganda.
No dear I meant huyo mpiga domo kusifia uongo....

Thanks ngoja niitafute
 
Back
Top Bottom