Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Dah huyu jamaa leo katubu na kumtosa magufuli. Maisha haya 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipDah huyu jamaa leo katubu na kumtosa magufuli. Maisha haya [emoji119]
Kakiri alikuwa anafake, zilikuwa propaganda na ameomba msamaha Kwa yoyote aliemjibu vibaya.Kivip
Falaa kweli [emoji1787][emoji16][emoji16]Kakiri alikuwa anafake, zilikuwa propaganda na ameomba msamaha Kwa yoyote aliemjibu vibaya.
Du nilifikiri umenitusi🙄🙄. Iko hoja mchanganyiko kama anasema ukweli basi kulikuwa na shida Sana kwenye utawala WA Jiwe watu walikuwa kama misukule anasema alisifia utawala ule huku alijua yaliyokuwa yakifanyika ni mabaya katamka kuwa alikua anafanya propaganda.Falaa kweli [emoji1787][emoji16][emoji16]
Kwenye uzi gani?
Dah watu kama huyu jamaa ni wa kulaani sana. Wameumiza wengi, laiti angetubu jiwe akiwa hai angeeleweka lkn kwa sasa anaswitch kuendana na mazingira. Watu wa namna hii ni hatari mno.Du nilifikiri umenitusi🙄🙄. Iko hoja mchanganyiko kama anasema ukweli basi kulikuwa na shida Sana kwenye utawala WA Jiwe watu walikuwa kama misukule anasema alisifia utawala ule huku alijua yaliyokuwa yakifanyika ni mabaya katamka kuwa alikua anafanya propaganda.
No dear I meant huyo mpiga domo kusifia uongo....Du nilifikiri umenitusi[emoji849][emoji849]. Iko hoja mchanganyiko kama anasema ukweli basi kulikuwa na shida Sana kwenye utawala WA Jiwe watu walikuwa kama misukule anasema alisifia utawala ule huku alijua yaliyokuwa yakifanyika ni mabaya katamka kuwa alikua anafanya propaganda.