Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma.
Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu na furaha ni watu.
Hopping to catch up with you soon, mimi nakesha usihofu dodoma ntakiwasha alfajiri.
Wadiz
Tule bata na tulipe kodi kwa maendeleo ya taifa, toa risiti na dai risiti.