Tunaokwenda usiku huu Dodoma tupite Didz, Starpark, Samaki Morogoro, ntakuwepo sehemu zote

Huyu kaandika huu uzi tyr kashaanza kunywa... Sasa kesho asubuh akirud ktk Default settings atanielewa.
Dadeki nakesha sifanyi huo ujinga mkija samaki au starpark mtanikuta safari ya dodoma naianza nikiwa sober sifanyi Utopolo, Yanga wako local sana siwezi kuiga chochote toka Yanga
 
Starpark hana ujinga wa mashoga kanuni zake anaejielewa sana Mangi
 
Mapema sana nipo starpark na jukwaa lao la mirangi rangi blue kama zote, acha tule raha maisha ndio haya haya
 
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma.

Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu na furaha ni watu.

Hopping to catch up with you soon, mimi nakesha usihofu dodoma ntakiwasha alfajiri.

Wadiz
Tule bata na tulipe kodi kwa maendeleo ya taifa, toa risiti na dai risiti.
Nipo samaki samaki
 
Mkuu wakati unaingia mwambie dj apige nyimbo ya mondi ya kidole mama kidole wewe wakati huo unaingia huku unazunguka 😅😂 kula maisha mkuu
 
Daaahh mimi nataka nije dom nitume barua za maombi ya polisi nauli mzozo.
 
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma.

Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu na furaha ni watu.

Hopping to catch up with you soon, mimi nakesha usihofu dodoma ntakiwasha alfajiri.

Wadiz
Tule bata na tulipe kodi kwa maendeleo ya taifa, toa risiti na dai risiti.

A very proper definition ya mtu mshamba
 
Aisee!Safiiii!Bugia maisha hadi yakukomeeee!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom