Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Muwe mnaona aibu kuonyesha viungo vyenu hadharani..mtu mwenyew tukunyema..rubbish kabisa
Mguu huujui au genye? Sa nikiwa tukunyema nakunyima pumzi au shobo shoga angu? Kama we bwana ako anapenda wembamba ni bwana ako mie wangu ananipendea hizi nyama maana ndo wowowo analiona vizuri upo nyonyo? Halafu kisichokusugua kisikutie genye sawa eeeh?
 
Spirits zotw sigusi. Mie ni Heineken Wine ila dry Glenfidich JD Balantines na Jameson zaidi ya hapo sigusi. Jana nilijaribu Savana nusu nirudishe chenchi


ahaha wine dry weka kando na mie !anyways nazo safi !niliwah gusa ballantines ! hahaha sina hamu nayo badala ya kujirusha majini nikarusha simu hhehe! lol
 
Nani kamix grants na Heineken? Au umekua kipofu na wewe? Huoni tu wawili wawili tunaokunywa vitu tofauti? Acha ushamba.
 

haahhahahaha mbavu zangu mie !dah @!shogako umempa makavu mno dah
 
Achana nao hao wana njaa ndio maana wanatokwa povu ,,we huoni uzi mzima wanatokwa mapovu wao tu
Acha kuwaquote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…