Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

HAAhaaaaaaaaaaaaaaaaa wapi Maserati
1f62d78dad4513c1d6a1531631e6ae32.jpg

Hiyo mpya kabisa. Acha waendelee kutokwa povu. Napita comment zao kama sioni vile. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nani kamix grants na Heineken? Au umekua kipofu na wewe? Huoni tu wawili wawili tunaokunywa vitu tofauti? Acha ushamba.
Uwiiii ndo maana nimeona tofauti ya vidole,ushamba mbaya sana jaman.vile vya grants vipo kama mishikio ya majeneza na hivi vya pili vipo kama vya miguuni.kwa ujumla wenu,vidole vyenu mkivikusanya kwa pamoja mnavunja nazi bila tabu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani unaandika ujinga ila umenichekesha
 
Uwiiii ndo maana nimeona tofauti ya vidole,ushamba mbaya sana jaman.vile vya grants vipo kama mishikio ya majeneza na hivi vya pili vipo kama vya miguuni.kwa ujumla wenu,vidole vyenu mkivikusanya kwa pamoja mnavunja nazi bila tabu.
hahahaha nimecheka had kupaliwa !sio tabia nzuri kwakweli !yaan had machoz yamenitoka !dah!waswahili bwana
 
1f62d78dad4513c1d6a1531631e6ae32.jpg

Hiyo mpya kabisa. Acha waendelee kutokwa povu. Napita comment zao kama sioni vile. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile ile umejazia maji kisha ukaiweka kwa friji kidogo na kuirudishia kizibo....eti mpyaaaa.vipya wavijua weweee.mpya hapo bado n chupa tyu.vyovyote utakvyo fanya mpya hapo n chupa.labda kama utageuka kuwa chupa ikifika saa 6 usiku,hapo sawa
 
Mimi kwanza mwanaume asiekunywa simtaki. Hamna raha kama kula tunda wote mna maji kichwani. Raha sana. Walokole hawataelewa hii raha ndo shida
Yaani hamna kuoneana aibu... Hiyo raha yake ni balaa. Walokole kweli wanakosa mambo mazuri
 
Back
Top Bottom