Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiii ndo maana nimeona tofauti ya vidole,ushamba mbaya sana jaman.vile vya grants vipo kama mishikio ya majeneza na hivi vya pili vipo kama vya miguuni.kwa ujumla wenu,vidole vyenu mkivikusanya kwa pamoja mnavunja nazi bila tabu.Nani kamix grants na Heineken? Au umekua kipofu na wewe? Huoni tu wawili wawili tunaokunywa vitu tofauti? Acha ushamba.
Sasa wenzie humu tunapunguzia stress ye anakuja kujijaza stresaMdharau huyo huwa ana stress
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani unaandika ujinga ila umenichekeshaUwiiii ndo maana nimeona tofauti ya vidole,ushamba mbaya sana jaman.vile vya grants vipo kama mishikio ya majeneza na hivi vya pili vipo kama vya miguuni.kwa ujumla wenu,vidole vyenu mkivikusanya kwa pamoja mnavunja nazi bila tabu.
hahahaha nimecheka had kupaliwa !sio tabia nzuri kwakweli !yaan had machoz yamenitoka !dah!waswahili bwanaUwiiii ndo maana nimeona tofauti ya vidole,ushamba mbaya sana jaman.vile vya grants vipo kama mishikio ya majeneza na hivi vya pili vipo kama vya miguuni.kwa ujumla wenu,vidole vyenu mkivikusanya kwa pamoja mnavunja nazi bila tabu.
Puto la ushirombo
Aisee wewe ndio utakuwa na huo ujingaAcha kusapoti ujinga dogo
Ile ile umejazia maji kisha ukaiweka kwa friji kidogo na kuirudishia kizibo....eti mpyaaaa.vipya wavijua weweee.mpya hapo bado n chupa tyu.vyovyote utakvyo fanya mpya hapo n chupa.labda kama utageuka kuwa chupa ikifika saa 6 usiku,hapo sawa![]()
Hiyo mpya kabisa. Acha waendelee kutokwa povu. Napita comment zao kama sioni vile. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hahaha sikujibu wewe !sio hadhi yangu kabisaaa
Natamani nipate mke anayekunywa .... Kuna raha ya kula tunda ukiwa na tungi kichwaniSpirits zotw sigusi. Mie ni Heineken Wine ila dry Glenfidich JD Balantines na Jameson zaidi ya hapo sigusi. Jana nilijaribu Savana nusu nirudishe chenchi
Ukifika kwenye ndoto niite mkuu lool [emoji39][emoji8]Nami nakuota kabisaaa,,,hahaah
Dada yangu leo kulikoni?hahaha sikujibu wewe !sio hadhi yangu kabisaaa
Mimi kwanza mwanaume asiekunywa simtaki. Hamna raha kama kula tunda wote mna maji kichwani. Raha sana. Walokole hawataelewa hii raha ndo shidaNatamani nipate mke anayekunywa .... Kuna raha ya kula tunda ukiwa na tungi kichwani
Yaani hamna kuoneana aibu... Hiyo raha yake ni balaa. Walokole kweli wanakosa mambo mazuriMimi kwanza mwanaume asiekunywa simtaki. Hamna raha kama kula tunda wote mna maji kichwani. Raha sana. Walokole hawataelewa hii raha ndo shida
vibe lake huwa sio la bara hili !ila men awe fit !sio wale wa dk 2 !ptuNatamani nipate mke anayekunywa .... Kuna raha ya kula tunda ukiwa na tungi kichwani
Nimetamani nikupe likes hata 100 nimeshindwaSome people are bitter even to themselves
Free ya hands and stop hating.
**** love
Hapo mnara unatakiwa kuwa wima 24/7 yaani hiyo raha yake ni balaaavibe lake huwa sio la bara hili !ila men awe fit !sio wale wa dk 2 !ptu