Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha woga kakaKatika kuepusha shari bora ukae karibu na nyumbani tu.
Rock bottom
mbaya mnooo !siajwah ona !nimeanza kushusha ka smirnof blak ice hapa mieZina ladha mbaya hiziiii hahahah
Weee hebu tuwache mwenzio kakubali malaika we nenda huko ushuzini
njoo chemba ratiba zianze mapema muda unakimbia sna leo.Rock bottom
Hujambo sis Di? Naona mambo mazuri sisi wavuta bangi vipi tumo nao. Hahaha Happy New yearView attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Hahahaaaaa!! Ngoja nikuitie putin auchambeeee, upoo!!