MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Hahahaaaaa!! Ngoja nikuitie putin auchambeeee, upoo!!
Kunywa mama, mie navuta tu, leo sinywi.
hahahaha unanifurahishaga ujue !dah!we vuta bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa!! Ngoja nikuitie putin auchambeeee, upoo!!
Kunywa mama, mie navuta tu, leo sinywi.
Niko chimbo nakula busiga taratibu, nahofia nisije kulewa sana wanipore, hiyo kesho wapi huko kwa kujifukia?nipo kibishi bishi home leo ! kesho lazima nikayatafute maji nikajifukie mle ! wapi wewe zagamba!
Mwite aje hahahahaa leo sijui yupo wapi,,eti kwenye paja hapo kuns michirizi
Live and direct. Hakuna kufichana Bonge la noma yanAliekuambia nasubiri mme nani,,mi nasagana unataka nikusage
View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Mrahisi sana wewe, wahuni washakula sanaa, na taarifa zimekuja UPOOO!!!
Hahahaaaa!! Karibu tupulize mama.
Na ninawaonya mnanifata pm kunitongoza halag hapa majifanya fanyaa nitwaumbuaa mimi ndio Dina
duh !tafuta kawine katamu tamu mbona raha tu !Natamani ningekuwa nakunywa
Manake leo nimeligwa ambush ya kufa mtu
Najipigia muziki kama chizi
**** mapenzi
Tukutane "floor ya nane" pale..We baadae tukutane Cask ama Gold crest