Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Mrahisi sana wewe, wahuni washakula sanaa, na taarifa zimekuja UPOOO!!!
Hahahaaaa!! Karibu tupulize mama.
Na nitawaanika nasubiria mods wanipe ruhusa niwaanike ili mkione cha moto kwa mabwana zenu
 


Aisee...utafanya watu wabake hiyo picha!
 
Mrahisi sana wewe, wahuni washakula sanaa, na taarifa zimekuja UPOOO!!!
Hahahaaaa!! Karibu tupulize mama.
Na ninawaonya mnanifata pm kunitongoza halag hapa majifanya fanyaa nitwaumbuaa mimi ndio Dina
 
Mrahisi sana wewe, wahuni washakula sanaa, na taarifa zimekuja UPOOO!!!
Hahahaaaa!! Karibu tupulize mama.


teh teh !mlikua mnanishikia miguu nyie !sikujui hata sura lako ptu!lol !pole zao kwakweli! haya mama mie leo najimiminia ! sitak bangi zako!ukimuona demi mpe hi !
 
Natamani ningekuwa nakunywa

Manake leo nimeligwa ambush ya kufa mtu

Najipigia muziki kama chizi

**** mapenzi
duh !tafuta kawine katamu tamu mbona raha tu !
bdw hakuna raha kama kupewa hyo raha wajameni !watu pipooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…