Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

images.jpg
 
Mkono wa haja. Jamani msisahau leo mtakaoamua kunywa msiguse usukani. Pombe na usukani havina undugu na ni hatari sana.


Hata mimi nasisituza hili. Kuna mshikaji tumempoteza juzi christmas. Kapiga ulabu kaenda kushika ndinga kesho yake story zimesambaa hatunae. He was only 30 with 2 kids. Tuwe makini wapendwa
 
AISEE KUMBE NDO WEWE
ANGALIA HIYO GRANT IME REFLECT SURA YAKO HAPO
 
Bado masaa ya kukamata masanga. Usilewe sana ukijastuka umeamkia 2018 hoi bin taabani. Hata sherehe ukazikosa.
Hata nalewa sasa,kichwa kishakuwa kigumu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom