Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanama ni kijenge arusha wewe je uko kipande ipi?Upo wapi? Ndio sehemu gani
Haaa haaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aliekuambia nasubiri mme nani,,mi nasagana unataka nikusage
Mkono wa haja. Jamani msisahau leo mtakaoamua kunywa msiguse usukani. Pombe na usukani havina undugu na ni hatari sana.
Hahahaha ,,mbona we hujarusha sasa
Jamaa anazunguka Mno......![emoji12] [emoji12]Wewe rusha picha ya kinywaji mengine baadae
Hata mimi nasisituza hili. Kuna mshikaji tumempoteza juzi christmas. Kapiga ulabu kaenda kushika ndinga kesho yake story zimesambaa hatunae. He was only 30 with 2 kids. Tuwe makini wapendwa
Nikizima je?Naomba glass moja tu.