Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni hiviiiiiii mambo ni motoooo....View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Jina lako tu....linaonyesha we ni mtamu!!!Mbona Mapema
NishakufaHaahahahah usife bana
Mambo ni fireeeeeeeeMambo ni hiviiiiiii mambo ni motoooo....
Nna viporo vya Christmas hapa
Koh koh koh nikishiba nitavifungua
Nawaibukia tu kupiga stori, mi sinaga hizo za kuondoka nao.Sawa,kumbuka condom
Naona hapo watakuwa wameazimia kuniua.
Hufi banaaa ni nusu glass tu itakuzimua.
![]()
Wakizumuliwa hao vijana namimi nakubali togwa.
View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Mambo ni hiviiiiiii mambo ni motoooo....
Nna viporo vya Christmas hapa
Koh koh koh nikishiba nitavifungua
Mimi sijavutiwa na grants wala threat yako but hilo guu,,comin soon dar frm mkoani
Wafie dini waende hukoo jukwaa la dini
Leo upo wapi
Asante kwa taarifa mkuu,ngoja nivunje kibubuYuko mkoani pia, hujaona kapost Malaika!
Mwanza hiyo.