kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Atakaye kuoa wewe atakuwa ameoa hiyo rangi ya kidoleni mwako.Maana haimalizi wiki hiyo au atakuwa ameioa hiyo chupa ya grants,nayo ikiisha tyu haina shughuri labda upimie mafuta ya nazi.View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee