Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Atakaye kuoa wewe atakuwa ameoa hiyo rangi ya kidoleni mwako.Maana haimalizi wiki hiyo au atakuwa ameioa hiyo chupa ya grants,nayo ikiisha tyu haina shughuri labda upimie mafuta ya nazi.
 
Atakaye kuoa wewe atakuwa ameoa hiyo rangi ya kidoleni mwako.Maana haimalizi wiki hiyo au atakuwa ameioa hiyo chupa ya grants,nayo ikiisha tyu haina shughuri labda upimie mafuta ya nazi.
Asante kwa ushauri
 
72850e82969cea7e80382abf4b180ed3.jpg

Niko hapa naisubiria saa sita taraatibu huku naangalia BET Awards
 
teh nimekuwa zwazwa !nhale mhola sana gete
Ahenaho lulu twabhi shihamo, endelea kumimina tu hiyo simainofu taratibu, iko mzuka sana, kuna ile simainofu iko kama soda, kachupa kembamba karefu, unamiksia na simainofu yenyewe sasa ya kwenye chupa kama valuu, tamu kinoma yani, unajikuta uko tungi bila kujua!
 
Dominant hand kwako ni wa kulia.

Unaonekana msafi (kucha fupi na rangi)

Unaonekana ni artificial pia, pengine kichwani una nywele za mtu mwingine au katani.

Vidole vyako soft mno, haufanyi kazi za nyumbani. Shughuli zako za kila siku ni kukaa ofisini na kompyuta au kazi ambazo hazikupi kashikashi. Au haufanyi kazi kabisa

Mwili wa wastani.

Rangi maji ya kunde (paja limekooza weupe)

Asante kwa kutuhamasisha kulewa.
Mara ya mwisho mtu wa mwisho kumsikia ana relate hivi ni WALTER O'BRIEN safi mkuu ww ni GENIUS
 
72850e82969cea7e80382abf4b180ed3.jpg

Niko hapa naisubiria saa sita taraatibu huku naangalia BET Awards
Pamoja na kwamba umeweka maji kwenye hiyo chupa,bado chupa imekuzidi mng'ao.mguu kama paja la beberu na mkono kama mkia wa kondoa.kwa kweli umevutiaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Pamoja na kwamba umeweka maji kwenye hiyo chupa,bado chupa imekuzidi mng'ao.mguu kama paja la beberu na mkono kama mkia wa kondoa.kwa kweli umevutiaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
Niweke maji kwenye chupa inayouzwa elfu 3 jamani? Halafu iweje? Vyuma havijakaza kwa wote mkuu pambana na hali yako kama hata kununua Heineken unaona big deal.
 
Back
Top Bottom