Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,099
- 1,315
Alitaka tuishi kama mashetani [emoji16][emoji16][emoji16]Hasira mkuu. Ye vyuma vimekaza halafu anaona wengine wanaishi kwa raha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka tuishi kama mashetani [emoji16][emoji16][emoji16]Hasira mkuu. Ye vyuma vimekaza halafu anaona wengine wanaishi kwa raha
Nakaribia hivyoHahaha karibu mama, kizuri kunywa na wenzio.
heheh !olalalaaa ! hahhahaha sitaki mieNa uwe mnara kweli sio kibamia. Na raha zaidi inapatikana kwenye foreplay.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alitaka tuishi kama mashetani [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha ukikarbia kwenye jameson na huku kwenye mambo ya baba mwenye nyumba unaweza ukaingia 2018 kwa kutambaaNakaribia hivyo
Si mpaka nipate hizo nguvu za kutambaa sasa. Naweza nikazima hapo hapoHahaha ukikarbia kwenye jameson na huku kwenye mambo ya baba mwenye nyumba unaweza ukaingia 2018 kwa kutambaa
Mbona tupaja tudogo hivyo kama cha njiwaView attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Guiness ni chungu dah utadhani inawekwa na aloe veraAsate![]()
![]()
![]()
![]()
nibakishie tafadhali.![]()
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] nibakishie tafadhali.
Shoga unapika pilau saa hizi? Kunywa kidogoView attachment 664933View attachment 664934mwenzenu napenda mitosis tu
Mi sinywagi nakula tu misosi shogaaShoga unapika pilau saa hizi? Kunywa kidogo
Pilau halinaga limiti kwanguShoga unapika pilau saa hizi? Kunywa kidogo
Heri yako shogaMi sinywagi nakula tu misosi shogaa
Hahahahahaaa.. kwa kweli. Kama walipika saa hizi unalipenda kweliPilau halinaga limiti kwangu
MhJina lako tu....linaonyesha we ni mtamu!!!
Hahahahahaaa.. kwa kweli. Kama walipika saa hizi unalipenda kweli
Hao kuku nimewalewa.View attachment 664935 nachoma na kuku