Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mbona tushawajua. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] niliona ile picha wasukuma wamejaza kwenye daraja nilichekaNi darajani tu hakuna namna mpaka mtujueeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tushawajua. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] niliona ile picha wasukuma wamejaza kwenye daraja nilichekaNi darajani tu hakuna namna mpaka mtujueeee
sijawah ionja hii aisee
We kaka acha kutuvuruga basi wengine beb zetu wako mbali.
Ngabu ndo anaingia hapaMpaka aniombe ruhusa
Kuna mwingine ningekuambia sema utaniibiaaSura aliiziba fulani ila mweee. Anavutia huyo. Anaitwa Copenhagen kama sijakosea. Kaangalie uzi wake aloandika jana usiku. Ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Nitajitahidi nisimuibe mpenz. Niambie tu. Sema shetani akituzidi nguvy utatusamehe si ndio eehKuna mwingine ningekuambia sema utaniibiaa
Hawezii
Baadae ngoja tuleHawezii
Mida ya popo bado nataka niende heinekein hauzi muda huu nikafungulie mwaka paleBasi wenye mikono ya kutu kima conor roho zinawatoka,,wanatamani kufa ,,,maana hawana cha kurusha
Mngekuwa wapi kwa mfano? Halafu hapa mtuache na nani?Tungekuwa tunawang'ang'ania tusingekuwa hapa muda huu...
Hahah.... afu ww nakudai kaa chini ukumbuke vizuri...We kaka acha kutuvuruga basi wengine beb zetu wako mbali.
Zimefika usijali...Msalimie anaekunywa hiyi wine. Dinazarde kama nimesikia wivu kuona hiyo chupa ya wine.
Hiyo dhambi unaitendea nafsi yako au unamtendea yule anayestahili sifa?Kizuri tunasifia mkuu. Dhambi kuona kitu umekielewa ukakaa kimya
Vitandani huko,kugombea status.Mngekuwa wapi kwa mfano? Halafu hapa mtuache na nani?
Mbona sikumbuki. Naogopa madeni. Embu orodhesha deni lako nikulipe mkuu.Hahah.... afu ww nakudai kaa chini ukumbuke vizuri...