Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TwendeeeHahahah twendeni tu tukarushe rohi zetu
Hahaa... Wenyewe wanakwambia muhimu kuyumba tuu.Kuna mtu karushaa,,
Gongo hapana harufu yake ushalewaa
Ahsante shunie , na kwako pia. Mungu akupe kila lenye kheri ndugu yangu, mwaka huu uwe wa neema kwako.Heri ya mwaka mpya maka
[emoji23] [emoji23]Kuna mtu anagawa mahela huko tena
Wengine hatuna magoma usitafute tuchafue shuka zetu bure[emoji23] [emoji23]Hahahah twendeni tu tukarushe rohi zetu
Nmekuja mwenzangu.. Kwani ulikuwa waniita ama waningoja!?Umekuja [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
mmeshafika kule? Ngoja nichukue uber hapa nije jukwaani kwetuHahahah twendeni tu tukarushe rohi zetu
Wewe una lako jambo, si bure wewe.MBITIYAZA espy Mzigua90
Shunie Evelyn Salt Miss Natafuta makaveli10
Na wengine mkiwa tayari twendeni jukwaa la kule chini hahahaahha
Ameen maka [emoji120] na kwako piaAhsante shunie , na kwako pia. Mungu akupe kila lenye kheri ndugu yangu, mwaka huu uwe wa neema kwako.
Nilikua nakusifia maandishi yako yanayohamasishaNmekuja mwenzangu.. Kwani ulikuwa waniita ama waningoja!?
Shunie nawe umo.. Hupitwi..[emoji23] [emoji23]Twendeee
He he ndio ninayoyapenda hayo niwaze nini tena[emoji23] [emoji23]
Shunie ake we unawaza mifweza tuu
Napitwajeee kwa mfanoShunie nawe umo.. Hupitwi..[emoji23] [emoji23]
Mwambie dina kuwa mie mama kanikataza.Napitwajeee kwa mfano
Nyie msiende kunipa tabu mtoto wa watu, dhakar yangu naijua mwenyewe hii.Twende