Tunaomba debate na Ontario wenzake wawili kuondoa utata juu ya Forex

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau..

Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..

Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..

Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..

Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..

Na upande wa wajenga hoja..

Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...

wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..

Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.

kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja
 

I don’t debate riffraffs.

So I’ll pass.
 
Utafikir umelazimishwa kufanya forex, debate ili uamini nini, mtu mbishi na hutaki kuelewa wala kuamini wewe ni wa kuacha kama mlivyo tu.

Maskani huwa kuna vijamaa vibish lakin havijui chochote, basi tukianza kubishana mada vinabisha na kubisha. Mwisho vijamaa vyenyewe wanasema tu.google jawabu la ubishani. Sasa cha ajabu tuna google vizuri ila wakikuta jibu sio walilotaka wao, wanaendelea kubisha!
 
Fuatilia mfululizo wa hekaya za The Bold. Bila shaka utapata mwanga negative au positive kuhusu forex. Leo anatoa nyingine
 
Malumbano ya hoja na sio hoja za malumbano
 
Read books
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…