Habari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..
Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..
Na upande wa wajenga hoja..
Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...
wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..
Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.
kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja