Sema jamaa kawapiga kinooma maboya ......
Ontario sasa hivi ana hesabu hela zenu alizowapokonya.
Usimwamini mtu bali mpende,
Usimwogope mtu bali mheshimu.
Hakuna hela za bure lazima uzifanyie kazi. [emoji23] [emoji23]
Hakuna tatizo kabisaaakuna tatizo kwani????? me sina tatizo ndugu
Msaada bure kivipi Mkuu?Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
Msaada bure kivipi Mkuu?
Sio kwamba umeweka Link zenye reference yako ili ulambe commission?
forex kwa watu wanavo fikiria wanaona kama ni maisha ya kubahatisha.Habari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..
Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..
Na upande wa wajenga hoja..
Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...
wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..
Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.
kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja
La saba ila huwa una kiinglish kikali sana mkuu!![emoji53][emoji53][emoji53]