Tunaomba debate na Ontario wenzake wawili kuondoa utata juu ya Forex

Tunaomba debate na Ontario wenzake wawili kuondoa utata juu ya Forex

Ontario sasa hivi ana hesabu hela zenu alizowapokonya.

Usimwamini mtu bali mpende,

Usimwogope mtu bali mheshimu.

Hakuna hela za bure lazima uzifanyie kazi. [emoji23] [emoji23]
 
Ontario sasa hivi ana hesabu hela zenu alizowapokonya.

Usimwamini mtu bali mpende,

Usimwogope mtu bali mheshimu.

Hakuna hela za bure lazima uzifanyie kazi. [emoji23] [emoji23]

Jestkilla alisema Ontario hana muda wa kubishana ,yeye anahesabu blue blue tu na kudownload $$$$ .. alieyesema "kuishi kwingi ni kuona mengi" hakukosea
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Msaada bure kivipi Mkuu?
Sio kwamba umeweka Link zenye reference yako ili ulambe commission?
 
Habari wadau..

Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..

Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..

Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..

Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..

Na upande wa wajenga hoja..

Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...

wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..

Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.

kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja
forex kwa watu wanavo fikiria wanaona kama ni maisha ya kubahatisha.
●asilimia ya watu wasio jua forex wanaona nikitu rahisi sana ndo maana ukutana na utapeli kuanzia kwenye broker na wanao jifanya kutumia kivuli hiki.
●forex ni kama ajila au ni kazi ambayo inaweza kukufanya mda wote katika saa zako kuwa bize maana inahusisha maisha ya dunia kulingana na kila jambo kulingana na mibadilisho ya pesa katika mfumo.sasa wewe unaye subilia tips kwa kuteleza upate pesa unajisumbua ndo maana wakikupa tips wana kwambia akili kumkichwa.ukitaka kujiweka kwenye forex akikisha kuwa kichaa wa kila mtandao wa habari zote kama mfano IT uwe na ma kompyuta unaendesha server.

maisha si ganda la ndizi
 
Jestkilla alisema Ontario hana muda wa kubishana ,yeye anahesabu blue blue tu na kudownload $$$$ .. alieyesema "kuishi kwingi ni kuona mengi" hakukosea
Nikiwa na stress huwa napenda soma hizi mada za Forex!...Watu wana stress na ONTARIO jamani![emoji23][emoji23]
 
Kwa wale wenzangu n mm tucokuwa n mitaji ya kuanza kutrade kuna free bonus kabisa unatrade nayo ukipata faida unaichomoa n kupeleka kwa broker unayemtaka au kutransfer to another trading account...pm me for more info
 
Back
Top Bottom