Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Unafurahia tamko la embassy pole sana..Tanzania tuko east kwa sasaNimefurahi tu walipotoa tamko
East unapata nini?Unafurahia tamko la embassy pole sana..Tanzania tuko east kwa sasa
Watu wengine buana wanachekesha kweli.Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana hiyo Desemba 9 kuepusha Mauaji ya halaiki yanayopangwa kufanywa na Samia akishirikiana na vyombo vya kukodi kutoka nje pamoja na vyombo vyake vya ulinzi na Usalama.
Tunaomba mfunge anga ya Tanzania na ndege zenu zitawale kwenye anga la Tanzania kulinda Waandamanaji dhidi ya vikosi vya Wauaji.
Humu JF kumejaa mimbulula sanaYaani wewe ni mpumbavu na nusu unaropokaropoka tu bila kufikiria kwanza hata vitu ambavyo haviwezekani
Mtaelewa tu. Mnaua maelfu ya watu alafu wakatae kutulinda?Humu JF kumejaa mimbulula sana
Mwingine nimeona mada anaomba NATO waje kulinda maandamano 😂
Unaumia ukiwa wapi?Yaani wewe ni mpumbavu na nusu unaropokaropoka tu bila kufikiria kwanza hata vitu ambavyo haviwezekani
Si ndo maana mi nawaita nyumbu ye kwaakili yake anaona inawezekana tuYaani wewe ni mpumbavu na nusu unaropokaropoka tu bila kufikiria kwanza hata vitu ambavyo haviwezekani
Unatapatapa, 29/10 ulihangaika na JWTZ, Leo unahangaika na wamarekaniNajua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana hiyo Desemba 9 kuepusha Mauaji ya halaiki yanayopangwa kufanywa na Samia akishirikiana na vyombo vya kukodi kutoka nje pamoja na vyombo vyake vya ulinzi na Usalama.
Tunaomba mfunge anga ya Tanzania na ndege zenu zitawale kwenye anga la Tanzania kulinda Waandamanaji dhidi ya vikosi vya Wauaji.
Utaelewa tuUnatapatapa, 29/10 ulihangaika na JWTZ, Leo unahangaika na wamarekani
JF imekuwa kijiwe cha vilaza watu wanaandika upumbavu tu dah!Utaelewa tu
Maombi ni sawa, ila na waandamanaji nawaomba pia wazingatie ustaarabu na kuacha wizi wa aina yoyote na uharibifu wakati wa maandamano hayo pamoja na kuheshimu wanaulinzi ili kuepusha shari.sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana hiyo Desemba 9 kuepusha Mauaji ya halaiki yanayopangwa kufanywa