Simba chai
Member
- Nov 24, 2025
- 83
- 71
Ugoro wa mange anawalevya vibaya vijana
Wamarekani wakikutosa (ambapo ni lazima) utakumbilia wapi? SungusunguUtaelewa tu
Mmoja wapo wa mburula ni wewe.Mtaelewa tu. Mnaua maelfu ya watu alafu wakatae kutulinda?
Sijachoka.Una weweseka sana kijana, hakuna taifa limekombolewa na taifa jingine.
Jipiganie, hakuna wa kukusaidia.
We jitokeze popote ulipo andamana.
Hii inaonyesha ushachoka kabla hujaanza.
Tukutane D9.
Hao hawatakusaidia kuandamana, jitoe kwanza wewe, hata Vitabu vya dini vinasema Mungu humsaidia anayejisaidia.Sijachoka.
Nina nguvu tele.
Kupambana na madhalimu CCM unahitaji msaada wa kila mtu.
Ujinga wako umekithiri sasa.Umekuwa level moja na utahira.Sio wewe uliyekuwa ukitoa amri siku ile ya Oktoba 29?Leo unaomba ulinzi wa Marekani?Naona leo hujatumia dawa..Pumba unazoandika ni second to none.Unastaajabisha!Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana hiyo Desemba 9 kuepusha Mauaji ya halaiki yanayopangwa kufanywa na Samia akishirikiana na vyombo vya kukodi kutoka nje pamoja na vyombo vyake vya ulinzi na Usalama.
Tunaomba mfunge anga ya Tanzania na ndege zenu zitawale kwenye anga la Tanzania kulinda Waandamanaji dhidi ya vikosi vya Wauaji.
Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF

Tamko lao lipo wapi?Nimefurahi tu walipotoa tamko
Duh! Hivi wewe nyumbu slavery mentality bado inakusumbua kichwani mwako?Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana hiyo Desemba 9 kuepusha Mauaji ya halaiki yanayopangwa kufanywa na Samia akishirikiana na vyombo vya kukodi kutoka nje pamoja na vyombo vyake vya ulinzi na Usalama.
Tunaomba mfunge anga ya Tanzania na ndege zenu zitawale kwenye anga la Tanzania kulinda Waandamanaji dhidi ya vikosi vya Wauaji.
Huyu nyumbu alivyokuwa anawaambia watu humu watoke kwa nyunzi kila baada ya dakika mbili utadhani alikuwa ndani komand sentaDuh! Hivi wewe nyumbu slavery mentality bado inakusumbua kichwani mwako?
Lakini mwanzo si uliwadanganya vijana kuwa JWTZ inawaunga mkono kupindua Serikali matokeo yake wakapingwa za kichwa wewe nyumbu promax ukakimbia nchi.
Waliwadanganya watoto wa watu wakaingia kichwa kichwa matokeo yake wakawa RIP wao wakaingia mitini.Huyu nyumbu alivyokuwa anawaambia watu humu watoke kwa nyunzi kila baada ya dakika mbili utadhani alikuwa ndani komand senta
Halafu wale wote waliokuwa wahamasishaji humu wamerudi humu wote, ina maana walikuwa chini ya uvungu,
HAKUNA HATA MMOJA ALIINGIA RODINI
Yaani ukiangalia wengi waliokufa ni vijana wa bodaboda na wahangaikaji vijana waliotoka mikoaniWaliwadanganya watoto wa watu wakaingia kichwa kichwa matokeo yake wakawa RIP wao wakaingia mitini.
Unaumia ukiwa wapi?Ujinga wako umekithiri sasa.Umekuwa level moja na utahira.Sio wewe uliyekuwa ukitoa amri siku ile ya Oktoba 29?Leo unaomba ulinzi wa Marekani?Naona leo hujatumia dawa..Pumba unazoandika ni second to none.Unastaajabisha!
Kwani tunaopiga kelele humu hatupo mtaani? Mbona tuliandamana Oktoba 29 na nilikuwa live humu kutoa updates.Yaani ukiangalia wengi waliokufa ni vijana wa bodaboda na wahangaikaji vijana waliotoka mikoani
Wamewachuza sana vijana wa watu waliotoka familia masikini
Wenyewe wako humu hakuna hata mmoja alietoka D29, makelele mengi tu humu, halafu wanaoongoza hizi kelele humuhumu JF ukiwafatilia unakuta wanaishi nje ya tanzania.