PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaumia ukiwa wapi?
Niumie mimi au wewe kichaa unayepayuka.Ukichaa umekufikisha hata kuomba msaada Marekani.Vipi si ulikuwa kamanda uchwara wa kuwaambia watu watafute tiketi za ndege? Upo out of touch na reality na desperate unahitaji matibabu.
 
Akili yako inajaa kwenye kisoda. Huwezi kuzielewa akili kubwa
 
Kwani tunaopiga kelele humu hatupo mtaani? Mbona tuliandamana Oktoba 29 na nilikuwa live humu kutoa updates.
Wewe nasikia uko Kilimani Nairobi, unawadanganya nyumbu proax ili wapigwe za kichwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom