PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jeshi la Uganda linaweza kuja kulinda amani
 
Una weweseka sana kijana, hakuna taifa limekombolewa na taifa jingine.

Jipiganie, hakuna wa kukusaidia.

We jitokeze popote ulipo andamana.

Hii inaonyesha ushachoka kabla hujaanza.

Tukutane D9.
 
Una weweseka sana kijana, hakuna taifa limekombolewa na taifa jingine.

Jipiganie, hakuna wa kukusaidia.

We jitokeze popote ulipo andamana.

Hii inaonyesha ushachoka kabla hujaanza.

Tukutane D9.
Sijachoka.

Nina nguvu tele.

Kupambana na madhalimu CCM unahitaji msaada wa kila mtu.
 
Reactions: Tui
Sijachoka.

Nina nguvu tele.

Kupambana na madhalimu CCM unahitaji msaada wa kila mtu.
Hao hawatakusaidia kuandamana, jitoe kwanza wewe, hata Vitabu vya dini vinasema Mungu humsaidia anayejisaidia.
 
Reactions: Tui
Hii point umefeli mzee,huwa sielewi misaada wanayotoa wazungu wao wanafaidika vipi.
Jibu ni kunyonya rasilimali,kwa ulichoandika umefanana na wanaokopa na kuomba misaada nchi za watu badala ya kujikwamua kwa rasilimali tulizojaaliwa na muumba.
 
Reactions: Tui
Ujinga wako umekithiri sasa.Umekuwa level moja na utahira.Sio wewe uliyekuwa ukitoa amri siku ile ya Oktoba 29?Leo unaomba ulinzi wa Marekani?Naona leo hujatumia dawa..Pumba unazoandika ni second to none.Unastaajabisha!
 
Nimefurahi tu walipotoa tamko
Tamko lao lipo wapi?
 
Duh! Hivi wewe nyumbu slavery mentality bado inakusumbua kichwani mwako?

Lakini mwanzo si uliwadanganya vijana kuwa JWTZ inawaunga mkono kupindua Serikali matokeo yake wakapingwa za kichwa wewe nyumbu promax ukakimbia nchi.
 
Huyu nyumbu alivyokuwa anawaambia watu humu watoke kwa nyunzi kila baada ya dakika mbili utadhani alikuwa ndani komand senta

Halafu wale wote waliokuwa wahamasishaji humu wamerudi humu wote, ina maana walikuwa chini ya uvungu,
HAKUNA HATA MMOJA ALIINGIA RODINI
 
Reactions: UCD
Waliwadanganya watoto wa watu wakaingia kichwa kichwa matokeo yake wakawa RIP wao wakaingia mitini.
 
Sasa hivi dunia inaenda kasi,kila mtu atalibeba furushi lake! Kila inachangamoto zake,lazima tupambane wenyewe!
Na hata hivyo sidhani kama wana maslahi sana na Raslimali zetu!
Walifanya hivyo kwa Walibya wakati wanataka kuuangusha utawala wa Gaddafi! Walitaka Mafuta.
VInginevyo tungeona Manowari zilizobeba ndege za Kivita bahari ya Hindi.
 
Waliwadanganya watoto wa watu wakaingia kichwa kichwa matokeo yake wakawa RIP wao wakaingia mitini.
Yaani ukiangalia wengi waliokufa ni vijana wa bodaboda na wahangaikaji vijana waliotoka mikoani
Wamewachuza sana vijana wa watu waliotoka familia masikini
Wenyewe wako humu hakuna hata mmoja alietoka D29, makelele mengi tu humu, halafu wanaoongoza hizi kelele humuhumu JF ukiwafatilia unakuta wanaishi nje ya tanzania.
 
Ujinga wako umekithiri sasa.Umekuwa level moja na utahira.Sio wewe uliyekuwa ukitoa amri siku ile ya Oktoba 29?Leo unaomba ulinzi wa Marekani?Naona leo hujatumia dawa..Pumba unazoandika ni second to none.Unastaajabisha!
Unaumia ukiwa wapi?
 
Kwani tunaopiga kelele humu hatupo mtaani? Mbona tuliandamana Oktoba 29 na nilikuwa live humu kutoa updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…