Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.

Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba mmeanza kushikana mashati
 
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.

Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
SIKAUTI
 
uyu hapa
1681135328312.jpg
 
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.

Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
Vipi kuhusu Mohamed Outtara, Victor Akpan, na Nelson Okwa!! Na hapo sijamtaja majeruhi Agustine Okrah!
 
Kiukweli kabisa Outtara hakupata nafasi kabisaaa ya kuonyesha uwezo wake lkn pia hakupata nafasi ya kuwazoea wachezaji wenzake sababu alipoondoka yule kocha wa awali ndipo uongozi wa simba wakaanza kumbembeleza Onyango ambae alikuwa anatishia kuondoka na akaweka sharti apewe kipaumbele cha kucheza yy na ni wazi hakutaka Outtara acheze. ...

Kuhusu Okwa, jamaa ni mzuri sema tu majeraha yalimkabili mapema ila mm ukiniuliza uwezo wa yule jamaa kiukweli jamaa anaujua
 
Back
Top Bottom