Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.

Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
Usajili Ni betting unaweza pata au kosa.... aliyemleta Sawadogo huenda ndo aliyemleta BALEKE pia. Na mchezaji anaweza KUWA ovyo timu moja aka shine timu nyingine na vice versa siamini Sawadogo alikuwa mbovu Hadi kucheza League ya morroco (Batola). Mchezaji ku underperform Ni factor nyingi huenda kwanza hata kiafya hakuwa sawa tulaumu pia Kama vipimo vilifanyika... anyway vipi Aziz Ki wa Asec ndo yule wa pale kwa wananchi! Over.
 
Kama ana under perform sasa ni wakumtoa tu akatafute timu nyingine
 
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.

Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
Dewji si alilalamika majuzi hapa anapigwa kwenye usajili na kuna watu wanafanya makusudi ili afeli
 
Back
Top Bottom