luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.
Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
SIKAUTIHuyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.
Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
Dah kwa kweli ashitakiwe
Vipi kuhusu Mohamed Outtara, Victor Akpan, na Nelson Okwa!! Na hapo sijamtaja majeruhi Agustine Okrah!Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.
Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
So far nafasi ya lwanga haijazibwa.Yqan ni kheri angebakizwa Thadeo Lwanga kuliko sawa dogo
Kiukweli kabisa Outtara hakupata nafasi kabisaaa ya kuonyesha uwezo wake lkn pia hakupata nafasi ya kuwazoea wachezaji wenzake sababu alipoondoka yule kocha wa awali ndipo uongozi wa simba wakaanza kumbembeleza Onyango ambae alikuwa anatishia kuondoka na akaweka sharti apewe kipaumbele cha kucheza yy na ni wazi hakutaka Outtara acheze. ...Vipi kuhusu Mohamed Outtara, Victor Akpan, na Nelson Okwa!! Na hapo sijamtaja majeruhi Agustine Okrah!
Yule kocha wa awali alikuwa mshenzi sanaa ndio maana hata kule Misri yuko maji ya shingoSo far nafasi ya lwanga haijazibwa.
ILA huyu baleke tukae chini na mazembe mapema ....dogo mpambanaji sanaYule kocha wa awali alikuwa mshenzi sanaa ndio maana hata kule Misri yuko maji ya shingo
Mechi 4 goli 8ILA huyu baleke tukae chini na mazembe mapema ....dogo mpambanaji sana
sijui goli moja lile .... Huwa simfatilii mkuu.Mechi 4 goli 8
Ivi maele ktk mechi 4 za karibuni ana goli ngapi ..?
Umesema ana goli moja eh basi atampisha dogo pale timu ya Taifasijui goli moja lile .... Huwa simfatilii mkuu.
Kwa nini nusiombe jina la kiongozi aliyeshawishi usajili wa Baleke? Mashabiki maandazi bhanaTunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo
Unajua maana ya kushikana masharti kweli. Au kukurupuka tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba mmeanza kushikana mashati
Mayele mechi 10 za mashindano yote magoli 4Mechi 4 goli 8
Ivi maele ktk mechi 4 za karibuni ana goli ngapi ..?