Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

Usajili Ni betting unaweza pata au kosa.... aliyemleta Sawadogo huenda ndo aliyemleta BALEKE pia. Na mchezaji anaweza KUWA ovyo timu moja aka shine timu nyingine na vice versa siamini Sawadogo alikuwa mbovu Hadi kucheza League ya morroco (Batola). Mchezaji ku underperform Ni factor nyingi huenda kwanza hata kiafya hakuwa sawa tulaumu pia Kama vipimo vilifanyika... anyway vipi Aziz Ki wa Asec ndo yule wa pale kwa wananchi! Over.
 
Kama ana under perform sasa ni wakumtoa tu akatafute timu nyingine
 
Dewji si alilalamika majuzi hapa anapigwa kwenye usajili na kuna watu wanafanya makusudi ili afeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…