Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,349
- 21,802
Kama wakristo wanasherehekea mwaka mpya, ni halali na kwa waislamu kusherehekea mwaka mpya wa Hijri.
Hii ndio miezi katika kalenda ya hijri
1. Muharram (Mwezi wa kwanza na ni miongoni mwa miezi mitakatifu)
2. Safar
3. Rabi' al-Awwal (Mwezi aliozaliwa Mtume Muhammad S.A.W)
4. Rabi' al-Thani
5. Jumada al-Awwal
6. Jumada al-Thani
7. Rajab (Mwezi mtakatifu mwingine)
8. Sha'ban (Mwezi wa maandalizi ya Ramadhani)
9. Ramadhan (Mwezi mtukufu wa saumu/funga)
10. Shawwal (Mwezi unaoanza na Sherehe ya Eid al-Fitr)
11. Dhu al-Qi'dah (Mwezi mtakatifu)
12. Dhu al-Hijjah (Mwezi wa Hijja kule Mecca na Sherehe ya Eid al-Adha)
Soma Pia: Mufti aomba mapumziko mwaka mpya wa kiislamu,naam uislamu ni dini ya haki
N.B JUMATANO IWE MAPUMZIKO ILI WAISLAM WAWEZE KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA.