Tunaomba jumatano iwe mapumziko, kusherehekea mwaka mpya wa Hijri

Tunaomba jumatano iwe mapumziko, kusherehekea mwaka mpya wa Hijri

Waislamu hatuna sikukuu ya mwaka mpya wa Waislamu, mwaka mpya upo ila hatuna sherehe wala sikukuu yeyote kuhusiana na mwaka mpya

#FanyeniKazi
Waache maana wanataka kuiboresha dini yao...aka bidaa
 
Huwezi kuwa Muislamu kuliko Wazanzibar.
Nyinyi ndio wale mnaofikiri kuwa kila kiarabu dini inapanda na hakuna mwafrika anayejua dini kuliko muarabu that's poor mindset , Kuna MaSheikh wakubwa washawahi kuwa Maimami wa misikiti mitakatifu na wametoka Afrika Waarabu wamewekwa pembeni.

Kuna watu wazito Wenye mchango mkubwa sana katika Uislamu na sio Waarabu .

Mimi kutoka Mtwara au Kigoma naweza kumpita Mzanzibar kidini na wapo waZanzibar wenginwanapitwa kidini na watu wa bara
 
Nimekumbuka awamu ya Rais Ally Hassan Mwinyi.
Sikukuu na mapumziko ya kazi Kibao.
Ilikuwa sikukuu ikiangukia siku za Jumamosi na Jumapili basi mapumziko yake yanafidiwa siku za kazi.
Tunapumzika Jumatatu na Jumanne..
Rais Mkapa akafuta huo uzembe na uvivu wa kiafrika ya Pwani ya Mashariki na wakiarabu.
Like father like son, mwanawe kaanzisha Zanzibar. Wanataka kuuleta huku Tanganyika.

Ulimwengu huu wa liberal economy, sekta binafsi kutoa ajira za kutosha.
Tabia ya uvivu hii inaenda kutufanya tubaki nyuma kiuchumi.
Mambo hayo yafaa nchi ambayo ajira asilimia zote hutolewa na serikali. Sababu yenyewe kipato chake kinaingia hadi siku za mapumziko.
Kodi na tozo hazina siku ya mapumziko.
 
Kwenye biblia kuna sehemu wameandika sikukuu ya mwaka mpya ? Mwaka mpya ni sikukuu ya kisekula
 
Mwaka mpya unasheherekewa na watu wote duniani:
Akilizako unawawaza Wakristo pekee:
Amka usingizini haraka
 
Back
Top Bottom