Fanyeni hakuna hiyo sikukuu katika UislamuNawaunga mkono tupumzike kidogo nimechokaa sana na makazi.
Tangu lini umesikia wanadai hizo mambo mnazotaka nyinyi kudaiKwahiyo ni ya kikristo ama?
Yah kila dini ipewe siku yake ya kupumzika kusherekea mwaka wao mpya,Sisi Wabudha tunaomba pi mwaka mpya wetu husherehekewe
WAtu wenye asili ya kuanzia Irangi, Singida yote ,Manyara, Kule Mara Serengeti wataomba mwaka mpya wa Ethiopia pia usheherekewe.
Wahindu maana inatambulika ni dini rasmi nao mwaka wao utambuliwe.
Hapo vipi?
Duh! Mwaka mzima tutakuwa mapumzikoni; halafu utasikia jamaa wakilalamika hatuna huduma huku.Sisi Wabudha tunaomba pi mwaka mpya wetu husherehekewe
WAtu wenye asili ya kuanzia Irangi, Singida yote ,Manyara, Kule Mara Serengeti wataomba mwaka mpya wa Ethiopia pia usheherekewe.
Wahindu maana inatambulika ni dini rasmi nao mwaka wao utambuliwe.
Hapo vipi?
At your own risk.Mi siendi job
Serikali hii? Never. Halmashauri raha sanaAt your own risk.
Huwezi kuwa Muislamu kuliko Wazanzibar.Fanyeni hakuna hiyo sikukuu katika Uislamu