Mataga sikuhizi umekuwa mwoga una comment vi dots tu.....
iyo maana walianza Kwa kumvua hadhi yake ya kuwa Balozi wapate kumshughulikia wapendavyo. Now is illerevant, Diplomatic passport suspended.Tunaomba mrudisheni Polepole kama kuna kosa alifanya mahakama zipo. Huyu alikua katibu Mwenezi wa chama taifa, balozi Mjumbe wa Bunge la katiba pia Mbunge huyu mtu anawezaje kupotea kama kuku?
Tafadhali wakuu naomba mtoe tamko Polepole yuko wapi? serikali ina kila kitu vyombo vyote vya ulinzi twambie polepole yuko wapi? Utu wetu uko wapi na Utanzania wetu tuliojivujia na Umoja wetu inakuaje mtu kama balozi anapotea kama kuku sisi Wengine huku itajuaje?
Pia soma > GE2025 - Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi
Tunaomba mrudisheni Polepole kama kuna kosa alifanya mahakama zipo. Huyu alikua katibu Mwenezi wa chama taifa, balozi Mjumbe wa Bunge la katiba pia Mbunge huyu mtu anawezaje kupotea kama kuku?
Tafadhali wakuu naomba mtoe tamko Polepole yuko wapi? serikali ina kila kitu vyombo vyote vya ulinzi twambie polepole yuko wapi? Utu wetu uko wapi na Utanzania wetu tuliojivujia na Umoja wetu inakuaje mtu kama balozi anapotea kama kuku sisi Wengine huku itajuaje?
Pia soma > GE2025 - Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi
Kosa langu nini? kusema arudishwe ndo tatizo nimesema mtu kama balozi anapotea kama kuku Je sisi wengine?Kwa nini umeona umuhimu wa kutaja vyeo vyake vyote hivyo?
Angekuwa raia tu asiye na cheo ungeona poa tu auawe?
Kwa hiyo aliyekuwa balozi ndiyo arudishwe, wale wengine waachwe tu?
Pia arudishwe unajuaje hawajamuua kabisa?