Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Habarini,

Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi

Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila kuteua kunasabisha mambo kushindwa kufanyika kutokana na hofu yakutoteuliwa.

Tunaomba Rais ufanye uteuzi ili kuleta tija katika uwajibikaji na usimamizi wa nafasi hizo hususani kwa Mali za umma.

Pia, kukaa muda mrefu kunafanya ongezeko la kuoneana kujicho na kurogana na kupakana matope.

Naomba kuwasilisha
 
Akikuteua na wewe kwapa walah ntajiua!wewe ulie foj cheti
 
Back
Top Bottom