Mode hide my id
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha
Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari kimetufikia.