Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka.
Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta naomba sana serikali iweze kuifanyia kazi hii thread yangu Ili kuepusha vifo vya watanzania wenzetu.