Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ewe kijana wa yanga mbona una wivu kama nyegere.Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta naomba sana serikali iweze kuifanyia kazi hii thread yangu Ili kuepusha vifo vya watanzania wenzetu
NailetaBila picha ni majungu
HujielewiEwe kijana wa yanga mbona una wivu kama nyegere.
Itakua hulijuiKwani ilo jengo na lenyewe lina ghorofa ngapi mkuu
Mbona kama unaongelea nyumba za uku kwetu mitaa ya dauseni!?
SawaAcha lianguke. Nani anajali
Kweli mkuuSerikali iliangalie
Weka picha basiItakua hulijui
Kwani lile jengo likianguka likauwa watu watakufa wana Yanga pekeeWivu, figisu au siasa za kimichezo zinaweza kuwa zinahusika
Acha unyegere.Hujielewi
Kati ya majengo yote ya Dar na ya Tz umeona Hilo tu ndio limezeeka?Kwani lile jengo likianguka likauwa watu watakufa wana Yanga pekee
Kama jengo ni chakavu likarabatiwe
Hakuna kisichozeeka
Leo nimesoma kwenye yutube kuhusu misukule ya gorofa lilodondoka hivi karibuni huko kariakoo je humo hakuna?, hahahaa! Tunapo pata changamoto ni kama fundisho kwa JamiiHili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka.
Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta naomba sana serikali iweze kuifanyia kazi hii thread yangu Ili kuepusha vifo vya watanzania wenzetu.
Majengo yote ya chini ya ghorofa 20 ni imara na salama kariakoo,Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka.
Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta naomba sana serikali iweze kuifanyia kazi hii thread yangu Ili kuepusha vifo vya watanzania wenzetu.
Acha uongo wewe unakaa porini huko hujui lolote sio Kila kitu ulete uchawaMajengo yote ya chini ya ghorofa 20 ni imara na salama kariakoo,
hasa yaliyojengwa miaka ya 1940s.
hakuna haja ya kuzusha na kuzua hofu kwa wananchi 🐒