Tunaomba serikali iliangalie jengo la Simba hapo msimbazi

Yaani utopolo bwana, nyie mnaona like jengo lenu la mianzi ni imara kuliko.jengo la Simba?
Kweli huko wenye akili wawili tuu.
 
Nilichozungumzia nadhani ukijui ila umekurupuka Ili uonekane na wewe umechangia vitu vingine acha vikupite kama hujui nahisi haupo sawa kichwani siku njema sikujibu tena
 
Nilichozungumzia nadhani ukijui ila umekurupuka Ili uonekane na wewe umechangia vitu vingine acha vikupite kama hujui nahisi haupo sawa kichwani siku njema sikujibu tena
Relax bas gentleman,
stop exposing your mayhem kwa wadau with pointless arguments 🐒
 
Mtu yupo Ibologero Igunga huko analima vitunguu, halafu anakuja humu anachambua jengo la Simba
 
Hujambo mwanangu? Hoja yako nimeiona, nitawatuma vijana wangu waje kulibomoa kwa usalama zaidi wa raia.
 
Serikali ianze na jengo hatarishi lililopo kwenye mkondo wa Maji, linahatarisha maisha ya Wananchi ambao ni wafuasi wao na wapita njia
 
Kama ni lile jengo la pili kweli halifai,lile jengo lilitakiwa liwe la ghorofa 8 lakini imeshindikana kuliendeleza kwa sababu kwa pale tu lilipofikia lina nyufa kibao hivyo linahitaji kubomolewa lianze kujengwa upya na inasemekana ufisadi ule ulifanywa na Kassim Dewji wakati akiwa Katibu mkuu wa Klabu na nafikiri suala hilo nalo lilikuwa moja ya sababu za ugomvi wao yeye na kundi lake kwa upande mmoja dhidi ya Mwenyekiti Juma Salum na kundi lake kwa upande mwingine.
 
JENGO LIMEJENGWA NA FUNDI MAIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…